Search

63 results for Janeth Jovin :

  1. Rufaa dhidi ya Mbunge Gekul, hukumu leo

    Mbunge huyo alikuwa anakabiliwa na shtaka moja la shambulio

  2. Utingo alivyotoa ishara ya hatari bila mafanikio

    Amesema, “Tulipofika kwenye mteremko, dereva nikawa namuuliza shida iko wapi akawa ananiambia breki haishiki, nikawa najaribu kupiga kelele watu watoke barabarani tusiwakanyage.”

  3. Bajeti ya Kilimo yamkosha Mbunge Ditopile

    Mbunge wa Viti Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Ditopile ameipongeza Serikali kwa kutenga bajeti ya kilimo inayokwenda kufanya mapinduzi kwenye sekta hiyo.

  4. Watanzania kunufaika na elimu kuhusu sekta ya mafuta na gesi asilia

    Watanzania wanatarajiwa kunufaika na elimu kuhusu sekta ndogo ya mafuta na gesi asilia itakayotolewa na wataalamu wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwenye Maonesho ya Nne ya...

  5. Wanafunzi wa vyuo waaswa kuwa waadilifu

    Wanafunzi wa vyuo nchini wametakiwa kuwa waaminifu, waadilifu na wenye kujituma pindi wanapomaliza na kufanikiwa kupata ajira katika mashirika na kampuni mbalimbali ndani na nje ya nchi.

  6. Viongozi DCPC watumbuliwa, wachaguliwa wapya

    Viongozi watano na wajumbe wa kamati ya utendaji wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) wamevuliwa nyadhifa zao kwa kushindwa kutimiza wajibu wao.

  7. Wafanyakazi wa PURA washiriki sherehe za Mei Mosi

    Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameungana na maelfu ya Watanzania kufanya maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei 1, 2022.

  8. NGOs zatakiwa kuweka taarifa zao katika mifumo ya kidijitali

    Serikali imeyataka mashirika yote yasiyo ya kiserikali (NGOs) kuona umuhimu wa kuweka taarifa zao katika mifumo ya kidijitali badala ya kwenye vitabu au makaratasi kama wanavyofanya sasa.

  9. Dk Kihamia: Filamu ya Royal Tour kuipaisha Tanzania

    Imeelezwa kuwa Filamu ya royal tour itakayozinduliwa Aprili 28, 2022 mkoani Arusha na Rais Samia Suluhu Hassan itapaisha mapato ya nchi siyo kwa kupitia utalii pekee bali katika nyanja zote...

  10. Mdundo.com yatoa fursa ya kipekee kwa waumini wa dini ya Kiislamu

    Kampuni ya huduma za mziki mtandaoni ya Mdundo.com kwa mara ya kwanza katika msimu wa Ramadhani ulianza Aprili 1 hadi 30, imetoa fursa ya kipekee kwa waumini wa dini ya Kiislamu kusikiliza na...

Page 1 of 7

Next